Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu 40,000 wakishudia mchezo baina ya Nigeria na Misri kwenye uwanja wenye uwezo wa kuingiza watu 25,000
FB_IMG_1550233601097.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnada huo jamani

Ubalozi wa Switzerland, Finland, Norway, Europian Union, World Bank na UNICEF wanayofuraha kukukaribisha kwenye Mnada Mkubwa wa Fanicha za Nyumbani na za Ofisi, Magari na Genereta. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza mali hizo jumamosi ya wiki hili tarehe 16-Feb-2019 kuanzia Saa 3:30 Asubuhi, Golden Resort, Sinza

Mali zote zinaweza kukaguliwa kuanzia kesho Golden Resort Sinza karibu na Lion Hotel.

Kwa Maelezo zaidi piga simu no: +255 754 284 926 au Email: [email protected]

IMG-20190215-WA0021.jpeg

IMG-20190215-WA0019.jpeg

IMG-20190215-WA0018.jpeg
 
KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa Jumanne kati ya PSG dhidi ya Manchester United, mshambuliaji Edson Cavani hakuwepo katika mechi hiyo ambapo timu yake ya PSG iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa Jumanne kati ya PSG dhidi ya Manchester United, mshambuliaji Edson Cavani hakuwepo katika mechi hiyo ambapo timu yake ya PSG iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
 
KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa Jumanne kati ya PSG dhidi ya Manchester United, mshambuliaji Edson Cavani hakuwepo katika mechi hiyo ambapo timu yake ya PSG iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
 
Back
Top Bottom