Hahaha wapi huko??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nilitaka kukuita nikasita bro alikua anaimba kisuku huko balaa
Watu wa humu wamenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Jirani mapumziko yameisha?
Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazeti ghafla akapigwa frampen usoni na mkewe[emoji23][emoji23] JAMAA: vp tena mke wangu kulikoni[emoji15][emoji15] MKE: kwenye suruali yako wakati najiandaa kuifua nimekuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza kunieleza huyo JENNY ni nani kwako[emoji51][emoji51] JAMAA: aaah! wiki ilopita nilikuwa kwenye mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa farasi wangu yaani farasi wangu aliitwa JENNY[emoji18][emoji18] MKE: sorry darling![emoji1376][emoji1376] Siku iliofuata jamaa akiwa amekaa tena kochini huku akisoma gazeti, alishtukia amepigwa tena frampen ya uso "kwaang!" JAMAA: Uwiiiiiii! jamani mke wangu nini tena[emoji25][emoji25][emoji15][emoji15] MKE: farasi wako anakupigia simu[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nyege nyege nyegezi, tuzitoe zetu nyege...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444]Wazee wa kupanda bus na mahindi ya kuchoma asubuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye uzi wa tucheke pamoja kule photos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuuwiiiiiii..... Mfwileeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nyege nyege nyegezi, tuzitoe zetu nyege...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444]
Yaani bibi harusi ndo anaonekana ni bwana harusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini makeup hapo kifuan sijui kasondeka manguo dah bibi harusi kazidiwa uzuri na baba harusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nijishtukie ile kapo ya avatar eee haipogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nyege nyege nyegezi, tuzitoe zetu nyege...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444]
Namshukuru Mungu naendelea kufainika vizuri, tiba yangu ipo humu humu. Ahsante kwa upendo Anko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoo unaendelea vizuri?
Oni mai weiiii huko[emoji470][emoji470][emoji470][emoji470]Kwenye uzi wa tucheke pamoja kule photos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera ya jirani uwe unaitafsiri mara tano tano ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio utoe jibu sasaWatu wa humu wamenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa jirani tutaleta hongera zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi bora sanaNamshukuru Mungu naendelea kufainika vizuri, tiba yangu ipo humu humu. Ahsante kwa upendo Anko.
Kwani vile viglasi vya waini vya kichoyo choyooo vimeisha? Hata kaua Yego [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Senki yu! Hapi nyu iya tu yu ezi welo! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utajionea maajabu