Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible missionKabila halihamiki. Vingine vyote hivyo vinahamika tena kirahisi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
SanaNmechelewa nini?
Nadhani unatamani ungekuwa huo ubao hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible mission
Najua. Nina braza ni Yanga damu damu basi tangu jana kadorora utafikiri mgonjwa. Haya mambo ni magumu...Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible mission
Yote haya ni kwa sababu ya ndoa ya Kinyaiya ama?...
Hahaha et braza kadorora,soka ipo kwenye damu ukiona hvyoNajua. Nina braza ni Yanga damu damu basi tangu jana kadorora utafikiri mgonjwa. Haya mambo ni magumu...
Halafu kwa nini nyie washabiki wazuri wa timu za nje hamshabikii timu za nyumbani. Jana mshua papaaa wa iPhone Capital naye alisema hivyo hivyo. Kuna tatizo gani? Mpira wa nyumbani hovyo ama nini?
Kama upo madrid cheka kwa pozi[emoji23][emoji23][emoji23]team r madrid hapaKwa mara ya kwanza nampata mtu tunae endana katika ushabiki wa mpira Bongo na Uingereza!
Namtafuta ambaye tutakuwa sawa Hispania pia.
Sio kwamba ile ni movie walikuwa wanashot hahaKinyaiya huyo