Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ad980ebf-b053-42cc-afbd-ee2d4202c1f2.jpeg
 
Halafu umeoa upinzanini..

Hivi siku nikija halafu nimwambie dada kuhusu haya manyanyaso yako ya mitandaoni humu dhidi yetu uso wako utauweka wapi lakini? Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36]
Chanzo cha yote haya ni ningendako na Anko binti mpole, nimeumia sana kwa kauli zangu, dada yako ameiona hiyo picha yenye huzuni. Niseme tu sitarudia(ingawa itakuwa ngumu) kuwatania shemeji zangu, ikitokea nimetania basi,nitakuwa nimeshirikishwa tu....
 
Jibu safi la kisiasa. Aisee unaweza kuwa mwanasiasa mzuri sana. 2020 gombea ubunge wa Mwakaleli. Hovyo kabisa yaani ...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chanzo cha yote haya ni ningendako na Anko binti mpole, nimeumia sana kwa kauli zangu, dada yako ameiona hiyo picha yenye huzuni. Niseme tu sitarudia(ingawa itakuwa ngumu) kuwatania shemeji zangu, ikitokea nimetania basi,nitakuwa nimeshirikishwa tu....
Nyote nyie cha mtoto. Kangekuwepo kakiongozi kenu ka timu roho mbaya mbona ningekuwa nimeshasarenda?

Hata sasa ngoja nijiondokee tu. Esta huko aliko sijui atakachorudi nacho hapa. Mtanisimulia kesho tukijaliwa. Nyote hamfai hata kwa kurumangia indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Just imagine bro anakuja kunasa hapa sipati picha mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
50813760_2087270124683901_6721110056735818979_n.jpg
 
Nyote nyie cha mtoto. Kangekuwepo kakiongozi kao ka timu roho mbaya mbona ningekuwa nimeshasarenda?

Hata sasa ngoja nijiondokee tu. Esta huko aliko sijui atakachorudi nacho hapa. Mtanisimulia kesho tukijaliwa. Nyote hamfai hata kwa kurumangia indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Just imagine bro anakuja kunasa hapa sipati picha mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1025219

Hapo hata kutembea nae atakuwa anamtanguliza huko, ili wasiwe pamoja! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom