Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
The power of pussy...it runs the world...
Mwanamke ndio chanzo cha majuto kwa wanaume wengi lakini bado wanaume hatusikii tu. - JamiiForums
Unanikumbusha mshua mmoja wa Nansio, alikuwa mshikaji wake sana na mshua, kila wakati alikuwa anakuja home kwetu. Aliapa kutokuoa maishani, sasa sijui ni nini kilimpata. Makazi yake yalikuwa ni The Kilimanjaro Hotel enzi hizo, akipachoka anahamia New Africa Hotel. Alikuwa anajiita Sir. ..... [emoji23][emoji23][emoji23]