Hahaha pale kona ya bwiru ujanja wote huwa hakana tena broSasa hivi si ajabu anakula Mjurubeng hevi anakatishwa kona za bwiru non stop. Na majibu ya comment hii itategemea na mood atakayoamka nayo. Let's brace ourselves...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huyu Athumani huyu sijui alikuwa na tabia za aina gani huyu [emoji16][emoji16][emoji16]"Mungu si athumani"
Simlaumu. Ukijichanganya aisee utatamani ardhi ipasuke tu uende zako. Pengine ndiyo sababu huwa tunakufa mapema. Ni changamoto sana sema tu ukifikiria ule utamu basi tu unanyong'onyea....Unanikumbusha mshua mmoja wa Nansio, alikuwa mshikaji wake sana na mshua, kila wakati alikuwa anakuja home kwetu. Aliapa kutokuoa maishani, sasa sijui ni nini kilimpata. Makazi yake yalikuwa ni The Kilimanjaro Hotel enzi hizo, akipachoka anahamia New Africa Hotel. Alikuwa anajiita Sir. ..... [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikakosakosa Gold Crest dah! Nitajilaumu mpaka siku naingia kaburini bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahaha pale kona ya bwiru ujanja wote huwa hakana tena bro