Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahahaha ankoo tayali umetuangushia jumba bovu mara hiiChanzo cha yote haya ni ningendako na Anko binti mpole, nimeumia sana kwa kauli zangu, dada yako ameiona hiyo picha yenye huzuni. Niseme tu sitarudia(ingawa itakuwa ngumu) kuwatania shemeji zangu, ikitokea nimetania basi,nitakuwa nimeshirikishwa tu....