Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455023657_189502.jpeg
 
ningendako vijana tunakwama wapi?
Mabinti wa siku hz hawana muda wa kuanza wote chini,yaan mnaanza from zero to hero,wamekosa uvumilivu,,,wao juu ya hili ukiwauliza wanadai mnaweza anza wote chini then mkimake tu,mwanaume anachange anasogeza mwanamke mwingine wakat huyu wa pili hata hachapigana toka mwanzo,,,kitu kama hcho ndio kinapelekea wao wajipeleke kwa babu zao wazima wazima,,,mtelemko kote kote bro

Mambo vp lakini bro?
 
Back
Top Bottom