Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hahahahahahah, hapa nimenunua biringanya halafu umeniwekea nyanya 😀😀😀Kasema chelsea 0 vs man u 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi numby unanini lakin?ningendako mitihani mema
carbamazepine all the best
Davet best wishes
[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeibuka
Nyie si mmeamua kuwa ma marioo?Mabinti wa siku hz hawana muda wa kuanza wote chini,yaan mnaanza from zero to hero,wamekosa uvumilivu,,,wao juu ya hili ukiwauliza wanadai mnaweza anza wote chini then mkimake tu,mwanaume anachange anasogeza mwanamke mwingine wakat huyu wa pili hata hachapigana toka mwanzo,,,kitu kama hcho ndio kinapelekea wao wajipeleke kwa babu zao wazima wazima,,,mtelemko kote kote bro
Mambo vp lakini bro?
Acheni wazee wawasaidie bhana,nyie si mmeshindwa[emoji124][emoji124][emoji124]ningendako vijana tunakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahah, hapa nimenunua biringanya halafu umeniwekea nyanya 😀😀😀
[emoji23][emoji23]muoneee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeibuka
HahahaNilikaona juzi kakiongozi kenu timu roho mbaya. Hovyo kabisa bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona dimples zimekuzuzua[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna mkate mgumu mbele ya chai walah.View attachment 1025986
Mwanamke dimples bana! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]