myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni iwe njema kwetu wooote
Nimependa maelezo yako.Mabinti wa siku hz hawana muda wa kuanza wote chini,yaan mnaanza from zero to hero,wamekosa uvumilivu,,,wao juu ya hili ukiwauliza wanadai mnaweza anza wote chini then mkimake tu,mwanaume anachange anasogeza mwanamke mwingine wakat huyu wa pili hata hachapigana toka mwanzo,,,kitu kama hcho ndio kinapelekea wao wajipeleke kwa babu zao wazima wazima,,,mtelemko kote kote bro
Mambo vp lakini bro?
Inapendeza bro,tumshukuru Mungu.Nimependa maelezo yako.
Huku ni kwema kabisa bro.
Nilikaona juzi kakiongozi kenu timu roho mbaya. Hovyo kabisa bro [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1026409
Halafu binti mdogo tu yaani. Kweli hii dunia tunapita tu. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji125][emoji125]ngoja nikamuulize cole[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi PSG na Man matokeo yalikuaje Esta?
Haya nasubiria majibu 😀😀[emoji125][emoji125]ngoja nikamuulize cole[emoji23][emoji23][emoji23]
Kasema chelsea 0 vs man u 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya nasubiria majibu 😀😀