Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahaha sio Kapuya tu,na mwenzake yule mzee wa IPP,,hawa wazee shwaini zaoNyie si mmeamua kuwa ma marioo?
Acha tu kila mtu apambane na hali yake.
Halafu maelezo haya yote ni sababu ya kapuya kuoa ka binti?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wa yuu ningee[emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo wanaruka stage[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema carba,habar ya kwako??