Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
The only wealth which you will keep forever is the wealth you have given away. – Marcus Aurelius
Mabinti wa siku hz hawana muda wa kuanza wote chini,yaan mnaanza from zero to hero,wamekosa uvumilivu,,,wao juu ya hili ukiwauliza wanadai mnaweza anza wote chini then mkimake tu,mwanaume anachange anasogeza mwanamke mwingine wakat huyu wa pili hata hachapigana toka mwanzo,,,kitu kama hcho ndio kinapelekea wao wajipeleke kwa babu zao wazima wazima,,,mtelemko kote kote broningendako vijana tunakwama wapi?
HahahaKiongozi wa timu ya Roho Mbaya.....
Mnajijua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1026439