myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:16
DEATH IS THE DESTINATION WE ALL SHAREHalafu binti mdogo tu yaani. Kweli hii dunia tunapita tu. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1026573
Kwema broMabinti wa siku hz hawana muda wa kuanza wote chini,yaan mnaanza from zero to hero,wamekosa uvumilivu,,,wao juu ya hili ukiwauliza wanadai mnaweza anza wote chini then mkimake tu,mwanaume anachange anasogeza mwanamke mwingine wakat huyu wa pili hata hachapigana toka mwanzo,,,kitu kama hcho ndio kinapelekea wao wajipeleke kwa babu zao wazima wazima,,,mtelemko kote kote bro
Mambo vp lakini bro?
Ester Binti Mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia sina matokeo hayo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125]ngoja nikamuulize cole[emoji23][emoji23][emoji23]