Dollar 100 kuchange hadi uwe na Id card 😕😕 tunarudi kwenye ukoloni..
Naona dimples zimekuzuzua[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna mkate mgumu mbele ya chai walah.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee leo unakaulizia ka poti kupitia numby uwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndio ilivyotokea broAlivyo niuliza nikajisemea nikiuliza back lazima asepe tu
Kweli kabsa sio kwa mbio hz alizotimuaAtakua na vinasaba vya 'media'...