Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mtawezana kabisa poti. Pyaar mpole mtulivu ila wewe sidhan maana wagumu wakishalainishwa tu yelewiiiii wanakua na ID tele kama mama wallah[emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... Wala, WAGUMU watulivu bana! Hawana tabia ya DUNGADUNGA! Ila huyo poti simuwezi, atanitia makwenzi bure! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…