Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Nishafumania sana...Huwa nawaacha kama walivyo...Maisha yenyewe haya ya nini kujipa pressure..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa naye ukimfumania utamuacha kama alivyo hata akuombe msamaha vipi na unampenda kwa moyo wako wote kabisa kabisa gete gete nkoyi wako?
 
hahahahahahahahahah, halafu ndio umenikumbusha kuwa alikua anatarajia mtoto(kama haukua utani πŸ˜€).Halafu usikute Davet na Dada Beef Lasagna wanajuana πŸ˜€πŸ˜€.

All in all, i hope all is good with him popote alipo.
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…