Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utu umepungua sana katika jamii yetu.Kuna mambo sikutarajia kuyaona bayana kwa kiasi hiki.
Wengine ni bangi, wivu na ukonki masta. Hata iweje huwezi kumuombea mtu afe hadharani namna hii hata kama unamchukia namna gani. Siyo utamaduni wetu kabisa.

Halafu cha ajabu sasa. Mtu anayemwombea mwenzake afe asipokaa vizuri anaweza kujikuta anatangulia yeye. Wengi waliomsimanga Lowassa walishatangulia wao na kumuacha kamanda akidunda. Tuwe na akiba ya maneno....
 
Sure, nimekumbuka ile ya Lowassa.Mungu atuepushe sisi na vizazi vyetu tusiwe watu wa namna hii.
 
Asante bro. Ujinga katika jamii zetu. Mtu anamchukua mtoto kama huyu na kwenda kumfanyia mambo ya ajabu eti anafuata maelekezo ya mganga ili atajirike. Inatia huzuni sana...
Sana, inasikitisha sana.Hapo wazazi lazima wamshukuru Mungu.Haya mambo tunayasikia tuu kila kukicha ila yanaweza yakaikumbuka familia yoyote hivyo ujumbe kama huo ni namna nzuri ya kuwatahadharisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…