Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msaada wa kitabibu tafadhali ndugu zangu!!

Mtaan kuna story hz kuwa

Kama mwanamke mjamzito kwa bahati mbaya ikatokea mimba kuharibika/miscarriage ,,,wanadai kuwa ni rahisi sana kwa mwanamke huyo kushika ujauzito,tena kwa kipindi kifupi tu,,

Kama ni kweli,nini kinapelekea hali hiyo??
 
Asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi, sijawahi kusikia ila kwa utafiti wa haraka baada ya post yako hili swala halina ukweli wa 'moja kwa moja' ila kinachotokea ni kama ifuatavyo.

Baada ya kushika ujauzito na baadae kupata miscariagge, mwili wa mwanamke unakua na hormones nyingi ambazo zilizokua zikilea ujauzito.Uwepo wa hormones hizi hupelekea kuvuruga mzunguko wa mwanamke(randomly) hali inayopelekea kuovulate kabla ya mda na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito kwani mhusika anakua hajui kama mzunguko umevurugika.

Hivyo ni jambo ambalo linaweza kusababisha ujauzito usiotarajiwa kwa baadhi ya wanawake.
 
Ok bro,,maana kuna jamaa nlimsikia kuwa kile kinachopelekea hali hii ni mlango wa kizazi unakuwa wazi ndio sababu inayopelekea kushika tena ujauzto,,

Nmesoma maelezo yako kwa uzuri,,naona kama jamaa alinijibu kienyeji na sio kitaalamu kama hv ulivyojarbu kupambanua kwa urefu zaid

Thanks,
 
Inatafakarisha.Ujumbe ni mzuri huu.
 
Mlango hata ukiwa wazi, kama hamna yai nothing will happen.Labda ana hoja ila hakuidadafua.Ngoja tuone kama kuna mwenye uelewa zaidi.
 
MD?

Maelezo safi kabisa. Uzi huu una watu wa kila aina kuanzia ma-Lucifer mpaka waponyaji. Na tofauti zetu hizi ndizo zimeufanya uzi uendelee kunoga pamoja na mikwaruzano ya kawaida ya hapa na pale (cc. Timu Roho Mbaya). Ndiyo maana jirani huwa anasisitiza mara kwa mara kuwa kila mtu ana umuhimu wake. I love you guys [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…