Yaani mi niliachaga hivyohivyo kila scene is disgastingi ilianzaga vizuri wakaharibu walivyoanza issue zaoLishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
Naunga mkono hoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hebu mwacheni bro wangu bana.
🤣🤣🤣..We na shogako siyo watu wazuri. Kijana wa watu mlimshupalia wakati mgeni mgeni kwenye uzi mpaka kweli akawaonyesha vidole na kiganja kizima. Yu a noti gudi pipo indeed wallahi mane lavusi mi ...
Hahaha ...Nshatulia tuliiii...
Ila aliyekuwa anaziomba atakuwa keshaziona. Huu uzi kuhama haiwezekani wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂 wewe huyo?36 soon 37[emoji125][emoji125]
Sidhani kama utazipata aisee. Nasikitika na mimi nimeshiriki shiriki katika kukufukuzia siksi paki zako. Ukitaka kitambi badala ya siksi paki sema [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
wasikimbize six paki zangu tu.. maana washaanza
Wala usijali Bro, niko poa.Nilikuwa natia kibwagizo tu kwenye mashairi yaliyokuwa yakiimbwa. Ndiyo raha mojawapo ya uzi huu bro. Na ukiona matani yamezidi sema. We cool? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu tena bhana.Hahahah hii skendo sio yangu hii, mwenye nayo anajijua
Mi mzima..sijui weyeMzima Fraga?
Umenichekesha sana na huo msemo, nna rafiki yangu anapenda sana kuutumia.
Akiweka tu niite[emoji125][emoji125][emoji125]Daveeee nimemisi kucha ,tuzioneeee
[emoji23][emoji23][emoji23]shosti mie na wewe tena lazima nikuite
Empire ilikuwa nzuri sana kabla hawajaanza kujaza zile scene za kishoga.Lishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...