Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Poootiiii kweli adui muombee njaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwendaaaaUnitag matokeo, tafadhali. VODA inaleta shida kidogo hapa chimbo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
😀😀😀😀😀Ulilala wapi?kama kitandan hauwezi hamia kwenye kochi. Usijibane jipe nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgonjwa hau a u?😀😀😀😀😀
Nimepona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgonjwa hau a u?
Ngoja tusubirie matokeo.
Ngoja tusubirie matokeo.
Nakumbuka kipindi natoka kijijini, ile naingia tauni tu, nikakutana na tisheti nyekundu yenye maandishi ya "sharp" huku nina picha ya "Pita shumaiko" na "Ande -ndekisye Mwaki-Cole",hatuja kaa sawa mwaka 98 ukawa wetu, mara 99 huo nao ukawa wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani huku Yanga kule Maniyuu....Wew una support timu gani Bro?
Mkuu unaendeleaje kiafya?Ngoja tusubirie matokeo.
Salama kabisa bro.Mkuu unaendeleaje kiafya?
Nakumbuka kipindi natoka kijijini, ile naingia tauni tu, nikakutana na tisheti nyekundu yenye maandishi ya "sharp" huku nina picha ya "Pita shumaiko" na "Ande -ndekisye Mwaki-Cole",hatuja kaa sawa mwaka 98 ukawa wetu, mara 99 huo nao ukawa wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani huku Yanga kule Maniyuu....
Nimepoteza ushabiki wa mpira nimebakiza na mapenzi ya timu tu
Leo ashinde Man u tuu, mimi ni city.Wew una support timu gani Bro?