Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A͟͟ b͟͟l͟͟i͟͟n͟͟d͟͟ g͟͟u͟͟y͟͟ v͟͟i͟͟s͟͟i͟͟t͟͟e͟͟d͟͟ h͟͟i͟͟s͟͟ c͟͟h͟͟o͟͟i͟͟r͟͟ m͟͟i͟͟s͟͟t͟͟r͟͟e͟͟s͟͟s͟͟ a͟͟t͟͟ h͟͟o͟͟m͟͟e͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ f͟͟o͟͟u͟͟n͟͟d͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟ n͟͟a͟͟k͟͟e͟͟d͟͟ w͟͟a͟͟n͟͟t͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ t͟͟o͟͟ s͟͟h͟͟a͟͟v͟͟e͟͟ b͟͟e͟͟f͟͟o͟͟r͟͟e͟͟ t͟͟a͟͟k͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ b͟͟a͟͟t͟͟h͟͟. S͟͟i͟͟n͟͟c͟͟e͟͟ h͟͟e͟͟ w͟͟a͟͟s͟͟ b͟͟l͟͟i͟͟n͟͟d͟͟, s͟͟h͟͟e͟͟ l͟͟e͟͟t͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ i͟͟n͟͟. T͟͟h͟͟e͟͟n͟͟ s͟͟h͟͟e͟͟ s͟͟p͟͟r͟͟e͟͟a͟͟d͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟ l͟͟e͟͟g͟͟s͟͟ w͟͟i͟͟d͟͟e͟͟ o͟͟p͟͟e͟͟n͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ s͟͟t͟͟a͟͟r͟͟t͟͟e͟͟d͟͟ s͟͟h͟͟a͟͟v͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ i͟͟n͟͟ f͟͟r͟͟o͟͟n͟͟t͟͟ o͟͟f͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ t͟͟r͟͟i͟͟e͟͟d͟͟ t͟͟o͟͟ m͟͟a͟͟k͟͟e͟͟ c͟͟o͟͟n͟͟v͟͟e͟͟r͟͟s͟͟a͟͟t͟͟i͟͟o͟͟n͟͟ w͟͟i͟͟t͟͟h͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ b͟͟y͟͟ a͟͟s͟͟k͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟. B͟͟r͟͟o͟͟t͟͟h͟͟e͟͟r͟͟ J͟͟o͟͟h͟͟n͟͟, w͟͟h͟͟a͟͟t͟͟ b͟͟r͟͟i͟͟n͟͟g͟͟s͟͟ y͟͟o͟͟u͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟e͟͟. I͟͟s͟͟ e͟͟v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟t͟͟h͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ O͟͟K͟͟ a͟͟t͟͟ h͟͟o͟͟m͟͟e͟͟?.. H͟͟e͟͟ r͟͟e͟͟p͟͟l͟͟i͟͟e͟͟d͟͟ "y͟͟e͟͟s͟͟ o͟͟h͟͟, v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ f͟͟i͟͟n͟͟e͟͟, I͟͟ c͟͟a͟͟m͟͟e͟͟ t͟͟o͟͟ t͟͟e͟͟l͟͟l͟͟ y͟͟o͟͟u͟͟ t͟͟h͟͟a͟͟t͟͟ I͟͟ h͟͟a͟͟v͟͟e͟͟ d͟͟o͟͟n͟͟e͟͟ t͟͟h͟͟e͟͟ e͟͟y͟͟e͟͟ s͟͟u͟͟r͟͟g͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ I͟͟ c͟͟a͟͟n͟͟ s͟͟e͟͟e͟͟ v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ c͟͟l͟͟e͟͟a͟͟r͟͟l͟͟y͟͟ n͟͟o͟͟w͟͟"!

Lesson:
*Never associate people with their history. There is always a turning point.*
 
Aisha wa Mambo hayo actress mkongwe aliyechochea maendeleo ya tasnia ya sanaa ya uigizaji Tanzania awafumua waandaaji wa Tuzo Za Sinema Zetu kwa kusema.... . . "Nimetoka kuangalia sinema zetu! Nilibahatika kuiona kidogo Filamu ya kesho! Msema kweli mpenzi wa Mungu watoto walioshinda kwenye uigizaji bado kabisa! Wanajikanyaga mno! Bado hawajakomaa kabisaa!! Kwenye uchezaji!! Hata mai zumo ni bora Mara Mia! Kuwapa ushindi dhidi ya wema, Monalisa, gabo , johari, phd na wengine ? sijui ni vigezo vipi wametumia! Kama ni kura tu ni kura zipi zilizopigwa kuwazidi wakongwe waliokuwa wanapigiwa usiku na mchana? Je hawa watoto wapo nyuma ya Nani? Nani kafanya hili deal litiki? Mimi ile naiita Aibu ya mwaka! Ni Aibu kubwa sana sana kwenye tunzo za sinema zetu! Yaani uigizaji ule ndio uwafanye wewe bora? Wenzetu wa Kenya, Uganda, nigeria wakibahatika kuiona filam ya kesho na kuwaona wale watoto wanavyoigiza eti ndio waigizaji bora si Aibu hii jamani? Hiki ni kichekesho kilichopitiliza kwa kweli! (hayo ni mawazo yangu tu mhenga Mimi)😤😤😤😤😤nimeudhika mpaka nimetoa povu Leo!"
 
Mwanasiasa mmoja kutoka Tokyo Japan, amenunua bikira ya mwanamitindo Mahbuba Mammadzada wa huko Azerbaijan kwa paundi million 2 ambazo ni zaidi ya billion 6.1 za Kitanzania. Mwanamitindo huyo alitangaza kuiuza bikira yake kwa mtu atakayefika dau kubwa zaidi ili kumfurahisha mama yake, na pesa zake wazitumie kutembea duniani.
 
"Palipozibwa ndipo pana njia ya kweli"

Euphrase Kezilahabi (Nagona)
 
KIUNGO Jorginho amejikuta kwenye wakati mgumu wa kuzomewa na mashabiki wa timu yake mwenyewe anayochezea, Chelsea wakati alipotokea benchi kwenye mechi dhidi ya Malmo kwenye Europa League usiku wa Alhamisi iliyopita.
 
Chelsea baada ya kuanza msimu vizuri, mambo yamegeuka na kumweka kwenye presha kubwa kocha Maurizio Sarri hasa baada ya vile vipigo vizito kutoka kwa Bournemouth na Manchester City kwenye Ligi Kuu England. Lakini, hilo si shida, shida ni lile la mashabiki wa The Blues kupinga Jorginho kucheza kwenye kiungo ya kukaba na kumwondoa N’Golo Kante kwenye nafasi hiyo.
 
Kocha, Sarri anapigiwa kelele juu ya jambo hilo, lakini msimamo wake upo palepale wa kumtumia Jorginho kwenye nafasi hiyo jambo linalomfanya kiungo huyo Mtaliano mzaliwa wa Brazil kujengewa chuki na mashabiki wake wakimzomea na kumnyima raha. Hata hivyo, Jorginho si mchezaji wa kwanza maarufu kuwahi kuzomewa na mashabiki wa timu yake mwenyewe katika mechi mbalimbali za mchezo huo wa soka.
 
David Beckham (LA Galaxy)

Kiungo Mwingereza, David Beckham amepita kwenye nyakati mbalimbali za kuzomewa na mashabiki wa timu yake mwenyewe. Kwanza ilikuwa ile ya mashabiki wa England baada ya kufanya ujinga uliomfanya aonyeshwe kadi nyekundu dhidi ya Argentina kwenye fainali za Kombe la Dunia 1998 na kukigharimu kikosi chake cha Three Lions.
 
Ikaja zamu ya LA Galaxy na mashabiki wake walimzomea sana Beckham baada ya kukerwa na uamuzi wake wa kwenda kucheza kwa mkopo AC Milan kwa kipindi cha miezi sita.

Mechi yake ya kwanza aliporudi kwa mkopo, Beckham alicheza dhidi ya NY Red Bulls na kila mpira aliogusa, basi mashabiki wa timu yake mwenyewe walipiga kelele za kumzoea. Lakini, mwaka uliofuata alipowasaidia kushinda ubingwa, hawakumzomea tena na sasa wana mpango wa kumtengenezea sanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…