carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huu ndo mchepuko?Uliiona hii shost?mke wa sallam ana kazi sanaView attachment 1031079
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]numby beibiiiiHongera kwa mechi ya leo binti mpole ni hatua nzuri kwenda championi ligiView attachment 1031154
Yeah baada ya pambano kali binti kachukua simu ya sallam na kujiweka live sijui alijipost. Salam kushtuka akafuta ila wambea walishadaka zaman
Monalisa ana movie mpya hujaiona jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ileee ya binti yake kupata A ya math.Eti enzi za kanumba[emoji23][emoji23]
Ila serously wema ana movie gan latest?au monalisa?
Bora riyama tunamuona ona.
Wapewe tu tuzo za mashauzi insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kicheko chako kiende moja kwa moja kwa binti mpole kisije kata kona ka risasi ya polisi kwenye maandamano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huu ni wazimu.Yeah baada ya pambano kali binti kachukua simu ya sallam na kujiweka live sijui alijipost. Salam kushtuka akafuta ila wambea walishadaka zaman
Monalisa ana movie mpya hujaiona jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ileee ya binti yake kupata A ya math.
Lulu nae alipania balaa ila sasa stress zikamuangusha shoo ikamdodea
Naomba kicheko chako kiende moja kwa moja kwa binti mpole kisije kata kona ka risasi ya polisi kwenye maandamano
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hia wi goo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]numby beibiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nibebe nibembeleze nibebe[emoji445][emoji445][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hia wi goo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1031178
Marahaba binti yangu mzuri, mtoto wa kinyaki, mrembo wangu, faraja yangu.... Niseme mangapi mie...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nibebe nibembeleze nibebe[emoji445][emoji445][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo umeisaka picha mpaka umeipataHongera kwa mechi ya leo binti mpole ni hatua nzuri kwenda championi ligiView attachment 1031154