[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo umeisaka picha mpaka umeipataView attachment 1031188[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaa maana kama wema katamba na ile video ya future hubby,mona na dv 1 ya mwanae,kajala wangemuwekamo na yeye.[emoji23][emoji23][emoji23]basi wangemuweka na kajala maana na yeye anamovie yake mpya na mwanae wakikata mauno[emoji23][emoji23]
Masikini kistuli anatia huruma basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafukuliwa anasuntwa. Daah binadamu sieEti marehemu anashitakiwa,sasa akikutwa na hatia anapewa hukumu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hapo bidada roho kwatuuuuuHuu ni wazimu.
Na sijui lini wadada wa mjini hawakomi na hizi mambo.
Sasa ndo anajionyesha kama anakulwa na sallam?
Hizi akili hizi nashukuru sina[emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vindimu ankoo vindimu hivyooo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hee mambo ya safariView attachment 1031191
Nimecheka ile picha imeonesha ile miaka 37 ya Esta.Naomba kicheko chako kiende moja kwa moja kwa binti mpole kisije kata kona ka risasi ya polisi kwenye maandamano
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu tulia hapo hapo tuuangalie mchapo wa chelsix na manshit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka ile picha imeonesha ile miaka 37 ya Esta.
[emoji1][emoji1][emoji123][emoji123][emoji124][emoji124][emoji124]
Poootiiii mmempiga ngapi Chelsea?
HahahahahaSiku hizi tunapiga tu, hatujali sana namba ya magoli. Yawe ya matuta au ya ugoko! [emoji1][emoji1][emoji1]
Naomba kicheko chako kiende moja kwa moja kwa binti mpole kisije kata kona ka risasi ya polisi kwenye maandamano
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]