Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HII inaitwa kuweka petrol katika nyumba inayoangua. Ndani ya majanga ambayo yanamkabili Kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri juzi Jumapili alikumbana na kisanga kingine baada ya kipa wake, Kepa Arrizabalaga kugoma kutoka katika pambano la fainali Kombe la Ligi dhidi ya Manchester City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…