Abedi Ayew
Alizaliwa miaka 54 iliyopita ni Pele wa Ghana. Aliitwa jina hilo kutokana na kufanana kwake kiuchezaji na gwiji wa soka la Brazil, Pele. Ayew ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 1992/93 akiwa na Marseille na moja la Afcon katika miaka yake 16 ya timu yake ya taifa ambapo aliiongoza kama nahodha kwa miaka sita kabla ya kustaafu 1998.
Wasukuma wanaruhusiwa?
Agiza pepsi big nakuja kulipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maendeleo hayana chamaView attachment 1032188
Sent using Jamii Forums mobile app
You guys are the best, mnafurahisha sana.
Nakuona nakuona, hbr ya asbh.
Naamini wakiwa na kakitambulisho kama haka na wakakionyesha lazima watawaruhusu tu...Wasukuma wanaruhusiwa?
Narudi kulala miye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Swalama kabisa,za wewe?Nakuona nakuona, hbr ya asbh.
Mzima wa afya, namshukuru Mungu.Swalama kabisa,za wewe?
Itakua waliwahi kupandisha mori