myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mchana wa kula
sawasawa..Anakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya akiwa na klabu ya Manchester City licha ya sasa kuichezea klabu ya Olympiacos.
[emoji16][emoji16]TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI
kweli...Tukiwa kwenye hatua hii tunakuwa na ndoto nyingi za mafanikioView attachment 1032384
aisee