Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ningependa kuweka wazi baadhi ya mambo kuhusu ile mechi. Kwanza nasikitika namna mwisho wake ulivyokuwa. Haikuwa dhamira ya kutotii uamuzi wa kocha. Nadhani lilikuwa ni jambo la kushindwa kuelewana tu hasa ukizingatia ile ilikuwa homa ya mechi ya fainali,” alisema.
 
Lingard naye nafasi yake ilichukuliwa na Alexis Sanchez baada ya dakika 41.

Antony Martial ambaye alikosekana Jumapili kutokana na kuwa na ugonjwa pia atakosekana mechi ya kesho Jumatano Man United itakapocheza dhidi ya Crystal Palace.
 
Vilevile alisema suala la upendo la muhimu lakini pia kuwa na muundo mzuri ni jambo la muhimu.

Alisisitiza kuwa matarajio yake ni kufanya kazi na watu kwa upendo na watu wenye upendo kwake ambao anaweza kubadilisha mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…