Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji444][emoji443]Kifo kifoo; kifo hakina huruma[emoji445][emoji443]

Bila shaka waliokuwa wanamwombea afe watakuwa wamefurahi. At the same time, tujifunze kuishi vyema na watu tungali hai. RIP Mulangira [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huoni tayali naitwa mfuasi mkuu,iginolist haikwepek kwangu,
Siwezi kukutia kwenye iginoa listi hata siku moja shemeji langu kipenzi. Wewe endesha TRM kwa amani na ikibidi recruit kila mwanauzi humu awe memba. Ila siku moja utalipia ubaya huu ambao ni unijastifaidi. Malipo ni hapa hapa duniani ati. Nakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ah wapi tayali tumeshakusajiri kwenye chama TRM's
Yaani ulivyokujaga katika uzi huu na Shiro wako. Ai neva ekisipekitedi zati yu wili tanapu tu bi zisi wei. Memba mkuu wa TRM? I would have bet my life that you will never ever end up joining such a useless, hate-filled and a terrorist organization [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…