Hahah... usizingatie sana mzee huu ni utabiri wangu tu, nimezingatia kiwango cha hawa vibonde walivyocheza na Buyern pia game yao ya mwisho walivyocheza na Man United B. Jamaa hawana hali kabisa wachezaji wao wanaonekana kuchoka adi akili asa washambuliajiMasihara haya mzee,,,nmempa Liver
Umenichekesha sana,et walivyocheza na Man United kweli aisee,ile game United isingekuwa na majeruhi wengi tungeondoka na ushindi,hii ya Buyern,,nawaona kama safari yao ndio kwisha habarHahah... usizingatie sana mzee huu ni utabiri wangu tu, nimezingatia kiwango cha hawa vibonde walivyocheza na Buyern pia game yao ya mwisho walivyocheza na Man United B. Jamaa hawana hali kabisa wachezaji wao wanaonekana kuchoka adi akili asa washambuliaji