[emoji818][emoji818]
Hii timu ilipata laana mzee, kuna mchezaji wao kitambo walikua wanamuita Mungu, basi hii laana inawatafuna mpaka keshoUmenichekesha sana,et walivyocheza na Man United kweli aisee,ile game United isingekuwa na majeruhi wengi tungeondoka na ushindi,hii ya Buyern,,nawaona kama safari yao ndio kwisha habar
Kuna jamaa yangu,yy huwa anasema Liver hata kama akuache point 10 au zaid,,bhasi mwsho wa siku utampita tena kirain sana,,,kama msimu huu ilivyotokea.