Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona unaunga mkono juhudi za mtoa mada Indirect!!

Dhambi ni mwanzo wa yote haya, Mungu ni mwema na upendo wake kwetu ni MKUU!!
Hapana. Yangu hii ni Lojiki tu tena ya kitoto. Naamini kuwa Mungu yupo na ndiye mwamuzi wa yote. Ametupa utashi wa kuamua tukitakacho and we are fully responsible for our actions [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#TutaokolewakwaNeema#
 
TANZANIA has banned the publication of The Citizen newspaper for seven days, effective today, after it published a story on depreciation of the shilling against the dollar on February 23.

View attachment 1033642
Dola imefikia sh ngapi kwa sasa?

Trend ya Fake News imetoa changamoto kwa vyombo vingi vya habari duniani. Na ishu kama hii kama kilichosemwa ni uwongo, mbona wasingekanusha tu?
 
Hapana. Yangu hii ni Lojiki tu tena ya kitoto. Naamini kuwa Mungu yupo na ndiye mwamuzi wa yote. Ametupa utashi wa kuamua tukitakacho and we are fully responsible for our actions [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#TutaokolewakwaNeema#

Kuna watu wanaleta hoja kuhusu Mungu wakati kwao Msikiti ama kanisa ni msamiati!!

Sasa sijui ni Mungu yupi wanaelekeza lawama zao kwake??
 
"Moudgulf"....Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman...


......Nietzsche alisema kuwa Mungu na dini haviwezi kumsaidia binadamu kuondokana na mateso haya sana sana tu vitamsahaulisha mateso hayo kwa muda kama ganzi au dawa za kupunguza maumivu zinavyompa ahueni mgonjwa kwa muda tu. Binadamu inabidi atafute ahueni katika nafsi yake kwa juhudi za makusudi za kujitambua huku akijua malengo yake hasa ni nini.....


SHIMBA YA BIYENZE..."Wasiwasi wangu ni elimu tunayowapa hawa watoto. Sina uhakika kama inawaandaa kuweza kufikiri kwa mapana na kwa kina kuhusu masuala haya mazito. Tena siku hizi tumepuuzia masomo ya sanaa na tunataka watoto wetu wote wawe wanasayansi"...

Ahsante sana kwa bandiko hili mkuu, Mungu akubariki sana, umenielimisha sana. Nitaendelea kusubiri kipengele kilicho baki. Mungu awe upande wako [emoji120][emoji120]
 
Double standars!!!

Yule Tanzanite mbona hawamuoni??!
Kwa mfano unataka Trump aikoromee Fox News? Weweeeee !!! Fake News daima ni CNN na The New York Times japo hawa Fox News kazi yao kubwa ni kusema uwongo na kueneza hofu.

Lile gazeti la Mbowe hata lingeandika kitu kizuri namna gani sidhani kama litasifiwa na system. Tanzanite hata waandike viroja namna gani (na wanaandikaga) sidhani kama watakaripiwa...

Mwenye nguvu ndiye anaamua "ukweli" uwe na sura gani...Ndivyo ilivyo !!!
 
Shirikisho la soka duniani (FIFA), limethibitisha kuwa klabu ya Nantes imewasilisha malalamiko juu ya kutolipwa pesa ya uhamisho wa mchezaji Emiliano Sala na klabu ya Cardiff City ambayo ilikuwa ajiunge nayo kabla ya kufariki kwenye ajali ya ndege.
 
Jarida la Forbes limeweka rekodi ya mwaka mzima kwa mwaka uliopita ikionyesha wachezaji 100 wanaopata kipato kikubwa kupitia soka pamoja na michezo mingine isiyo ya soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…