Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Esta mjanja mno. Nilicheza drama zote ananicheki tu. Nikaishia kwenda hapo Mwanza Hoteli nikakutana na wakatisha tiketi za ndege kwenye agency moja hivi wakataka kunidanga nikasema hii noma sasa. Kesho yake nikaenda kwenye lipicha la samaki kuhiji nikapiga picha halafu nikasepa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe huyu sasa yupo simple sana??bro ulitakiwa kwenda nae mdogo mdogo ungefanikisha kumtia machon pale Gold Crest
Nasikia bado ipo japo wanaharakati wa UKIMWI wanapambana nayo kufa na kupona...Hii huwa inaukwel wowote bro??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapiga picha huku ukilinyooshea kidole lile sanamu la samaki [emoji23][emoji23][emoji23]Esta mjanja mno. Nilicheza drama zote ananicheki tu. Nikaishia kwenda hapo Mwanza Hoteli nikakutana na wakatisha tiketi za ndege kwenye agency moja hivi wakataka kunidanga nikasema hii noma sasa. Kesho yake nikaenda kwenye lipicha la samaki nikapiga picha halafu nikasepa [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee,hii ni hatari sana hasa kwa zama hz,,kuna baadhi ya mila zinatakiwa kutokomezwa mbali kabsaNasikia bado ipo japo wanaharakati wa UKIMWI wanapambana nayo kufa na kupona...
Kwema shikamooTRM is a teraristi oganaizesheni...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema shemeji kipenzi?
Omba hiyo picha tuione basi,mbona unakuwa slow hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapiga picha huku ukilinyooshea kidole lile sanamu la samaki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba uko fasta nilikuwa nataka nimjaze jaze baadae nimuombe aitume hapaOmba hiyo picha tuione basi,mbona unakuwa slow hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapiga picha huku ukilinyooshea kidole lile sanamu la samaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimelisoma loote, na bado sijalala naendelea kulitafakari huku nikilirudia rudia. Kuwa mzazi ni gharama sanaMwachieni andjul hilo gazeti japo naye sina uhakika kama amelisoma lote [emoji16][emoji16][emoji16]
Zama hizi ni zama za mambo ya papo kwa papo na hakuna mwenye muda wa kusoma gazeti au mavitabu. Na hapa ndipo wazungu wanatuacha mbaaaaaaliiiiii....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine
Siyo vizuri hivyo shemeji...Omba hiyo picha tuione basi,mbona unakuwa slow hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukapiga picha huku ukilinyooshea kidole lile sanamu la samaki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine picha tayal huku[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1033735
Na mshindwe na vicheko vyenu, hao ni shemeji zangu siwezi kuwatania hata...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mshindwe na vicheko vyenu, hao ni shemeji zangu siwezi kuwatania hata...
Nilidhani unaiomba picha kwa ajili kujibia swali kumbe sio!!
Shwaini zenu TRM nyie, mola awachukue walahi, mane lavsi Bro walahi... Hi tachi niu mane everidei [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo hiyo picha siiangalii, sitaki nijue kama amebeba tairi akiwa kwenye gari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji zako hawa wameshashindika
View attachment 1033745
Uwe na wakati mwema ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo hiyo picha siiangalii, sitaki nijue kama amebeba tairi akiwa kwenye gari.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kwa heri