Hahahaha haiwezi tokea wallahHaya jifanye eti unataka kupanda cheo kwenye hiyo teraristi oganaizesheni yenu uone kitakachokupata. Utahama mtaa wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Masihara hayaLazima mchukue ubingwa msimu huu
Hahah bandia tena,,huku ndio kwangu bro,,hapo napafahamu vyemaMambo ndio yapo hivyo bro huko mkoani bandia kwako