Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unazungumziaje issue inayomuandama kwa sasa?
Hujaniuliza ila jadi yangu kukurupuka

Kwa upande mmoja yupo sahihi kwa upande mwingine hayupo sahihi

Upande sahihi :miaka kadhaa iliyopita,jamii ililishwa sumu kali na wasanii kwamba ruge mdhulumati wakatolea mfano mangwea na wengineo,sugu akaenda mbali na kutoa hadi albamu ya anti virus na tamasha juu full matusi kwa Ruge,kila mtu akawa anamchukia ruge kwa maneno ya kuambiwa. Juzi kati wasafi nao waanza mtukana Ruge kisa maslahi yao so konki akaiparamia kiki vizuri tu

Hayupo sahihi: wakati alioutumia na lugha sio sahihi. Muda wa konki ulishapita zamani na hakua na akili ya kuutumia muziki wake vizuri hivyo kumlaumu Ruge ni kumuonea tu. Muda si rafiki kwa konki maana watu wameshasahau tuhuma zote za Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…