Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kabisa bro alafu anafanya si kwa kutokujua anafanya kwa kujua makusudi tu, ni kuwarubuni tu mtoto wa miaka 12-17 kukataa ni ngumu sana jamaa ni mjinga sana kuhasiwa pia ni sawa kabisa
 
So nambie akati Aaliya ana twelve, R kelly likua na umri gani?

Hii ni sawa na mahusiano ya Lulu na Kanumba(Late)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…