capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sitaki kumzungumzia R. Kelly sababu sijui kama ni mzima ama ana matatizo yake,R. Kelly anashtakiwa kwa kulala na vibinti vyenye umri gani? Uliangalia Surviving R. Kelly?
Nlijua tuu uta mrefer Obama,
Unawezaje kua na chick mmoja?? Labda nikiingia kwa ndoa!!
Kana miaka 10 bro...
Uzi huu ni kama kokoro bro. Na ma pedophile wamo humu. Aaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36]
Sina hakika na hiyo range ya umri kati yao,Unajaribu kutetea kitu ambacho huwezi kukitetea. R. Kelly alikuwa 25+. Aaaliya alikuwa 13. Kwako hiyo ni sawa?
Kwa hivyo kwa wanao date mwanamke zaidi ya mmoja hawajiamini??Ni kweli lakini bro ameongea fact ni kwa wanaojiamini Tu
Kuwa na mwanamke mmoja inawezekana Tu ni uamuzi wako na vipaumbele.
Kama huwezi kuwa nae mmoja sasa ni very likely kushindwa kuwa nae mmoja kwenye ndoa
Hakuna justification yo yote ile kwa namna yo yote ile katika mazingira yo yote yale inayoweza kutumika kuhalalisha jibaba zima la miaka 20+ kulala na kitoto chenye miaka chini ya 14 (kisheria ni 18). HAKUNA...Sina hakika na hiyo range ya umri kati yao,
Ila ni kawaida kwa mahusiano ya BF na GF kwa even 18 yrs (+) VS below 18 Yrs.
Ni vile una m treat huyo GF,
Hata kama angekuwa anawatreat vizuri, anabakia kuwa pedophile tu na sexual predator. Kitoto cha miaka 13 kinajua nini? Hata viungo vya uzazi vyenyewe bado havijakomaa.Labda hajaangalia surviving R kelly
Robert alikuwa Abusive sana
Ukishindwa sasa hata kwenye ndoa itakuwa ni hivyo hivyo tu. Anza mazoezi mapema bro [emoji16][emoji16][emoji16]. Ila kwa mila nyingi za Kiafrika, mwanaume kuwa na wanawake wengi ndiyo uanaume...Nlijua tuu uta mrefer Obama,
Unawezaje kua na chick mmoja?? Labda nikiingia kwa ndoa!!
Hakuna justification yo yote ile kwa namna yo yote ile katika mazingira yo yote yale inayoweza kutumika kuhalalisha jibaba zima la miaka 20+ kulala na kitoto chenye miaka chini ya 14 (kisheria ni 18). HAKUNA...
Mtu anayefanya hivyo ni mgonjwa wa pedophilia anayefurahia kufanya mapenzi na watoto wadogo. Na adhabu ya hawa, kwa maoni yangu (na kama ilivyo katika nchi nyingi), ni kuuwawa, kufungwa maisha au kuhasiwa.
Kwa hivyo kwa wanao date mwanamke zaidi ya mmoja hawajiamini??
Ni swala la mtazamo tuu, Obama hakumaanisha kuwa na wanamke zaidi ya mmoja ni kutokujiamini.
Unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu .. sababu hujiamini pia.
Me nishashindwa Bro, nasubiri wa kunituliza ashuke!!Ukishindwa sasa hata kwenye ndoa itakuwa ni hivyo hivyo tu. Anza mazoezi mapema bro [emoji16][emoji16][emoji16]. Ila kwa mila nyingi za Kiafrika, mwanaume kuwa na wanawake wengi ndiyo uanaume...
Cole unanifurahisha sana!Kujiamini sexual sio namna nyingine nafikiri
Huoni kama una risk sana kuwa na wanawake watatu wote, namaanishi unagawa vipi muda wako kwao
Hata kama angekuwa anawatreat vizuri, anabakia kuwa pedophile tu na sexual predator. Kitoto cha miaka 13 kinajua nini? Hata viungo vya uzazi vyenyewe bado havijakomaa.
Hata kama angekuwa anawatreat vizuri, anabakia kuwa pedophile tu na sexual predator. Kitoto cha miaka 13 kinajua nini? Hata viungo vya uzazi vyenyewe bado havijakomaa.
Kwa vile uko under 25 bado sana. Watwange sana kwa sasa. Nakupa 10 au 15 years. Ukija kugonga 35 au 40 utakuwa umechoka na utaamua kutulia mwenyewe na mai waifu wako kabisa kabisa. Hapo utakuwa umekoswakoswa na UKIMWI, ushapata gono (siyo hili sugu la sasa) mara moja au mbili hivi na utachoka kutapanya mali zako kuhonga michepuko. Au inatokea tu Mungu Anafanya miujiza yake unakuwa Mwadventista wale wa kweli kweli kabisa unatulia tuliii kama vile siyo wewe vile.Me nishashindwa Bro, nasubiri wa kunituliza ashuke!!
Hawajuani?Cole unanifurahisha sana!
Anyway mazingira na namna naendesha mahusiano yangu na wanawake hawa watatu inabaki kua siri yangu,
Hii hua haipangwi inakuja Auto Bro.
Kwa vile uko under 25 bado sana. Watwange sana kwa sasa. Nakupa 10 au 15 years. Ukija kugonga 35 au 40 utakuwa umechoka na utaamua kutulia mwenyewe na mai waifu wako kabisa kabisa. Hapo utakuwa umekoswakoswa na UKIMWI, ushapata gono (siyo hili sugu la sasa) mara moja au mbili hivi na utachoka kutapanya mali zako kuhonga michepuko. Au inatokea tu Mungu Anafanya miujiza yake unakuwa Mwadventista wale wa kweli kweli kabisa unatulia tuliii kama vile siyo wewe vile.
Hakuna neno bro. Hata kama unasapoti ni haki yako kabisa. Uhuru (usio na mipaka)I feel You Bro,
Usije jenga fikra kichwani kwako kwamba nasapot, ni vile tunajaribu kutizama mambo kwa angle ingine.