Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbowe na wale waliomuunga kwenye mradi wao ulioangalia maslahi ya siku chache ndiyo walioiumiza CHADEMA.
Tangu mwanzo Lowassa alionekana ni mtu mwenye kupigania nafsi yake, kwa kisingizio cha kuwapigania watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe hana shida. Alishapiga hela ndefu. Maisha yanasonga. Yule ni businessman.
 
Ee Bwana ee! Manchester United hawataki mchezo kabisa, wanataka kusajili vichwa vya maana na wameshasaka wachezaji watatu ambao wanataka kuwasajili Juni mwaka huu. Lakini stori si usajili pekee bali kiasi cha pesa kilichotengwa kwa ajili ya majembe hayo matatu.
 
Kikosi cha Manchester United kimeonekana kuwa na kiwango katika siku za karibuni chini ya kocha wa muda Ole Gunnar Solskjaer lakini viongozi wanaona kwamba huu ni wakati mwafaka wa kuongeza nguvu ili timu iwe na ushindani mkubwa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (kama wakitua katika michuano hiyo msimu unaokuja) na Ligi Kuu England. Na kwa maana hiyo wametenga Pauni 200 milioni (Tsh 621 bilioni) kwa ajili ya kunasa nyota watatu pekee
 
Man United inataka kutua kwa nyota wa Napoli Kalidou Koulibaly. Katika siku za karibuni klabu hiyo imekuwa ikijihusisha na mbio za kumnasa mchezaji huyo. Taarifa iliyopatikana kutoka Napoli inasema kuwa mchezaji huyo anaweza kusajiliwa kwa kiasi cha Pauni 95 milioni.
 
Katika Listi hiyo pia kuna kiungo wa Barcelona, Ivan Rakitic. Taarifa zinasema kuwa maisha ya mchezaji huyo katika klabu yake ya sasa hayapo sawa na kinachotakiwa kwa Manchester United ni kukoleza moto kidogo tu katika utambi na moto mkubwa utawaka.
 
Viandunje bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
455220660_293835.jpeg
 
Back
Top Bottom