capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Every heart hurts sometimes.
Naona uzi umechangamka, unasaidia mtu kuandika lolote humu.
Oyeeeeeere
Mbowe na wale waliomuunga mkono kwenye mradi wao ulioangalia maslahi ya siku chache ndiyo walioiumiza CHADEMA.Kabisaa kavunja moyo wengi poor mbowe katumiwa na kuachwa akiwa gerezani. Slaa huko aliko full kicheko. Lissu kwake furaha pia maana nafasi ya uraisi ipo peupeee kwa upande wake
[emoji818][emoji818][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaa
Watakwenda ambako kuna uwezekano wa kupata kamlo [emoji16][emoji16][emoji16]Huku msiba wa Ruge
Kule Mbowe kashinda rufaa ya dhamana
Hapa Lowasa anarudi nyumbani kumenoga
Mambo ni mengi muda ni mchache waandishi hawaelewi waende wapi... Hahahahaaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app