Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbowe hana shida. Alishapiga hela ndefu. Maisha yanasonga. Yule ni businessman.Mbowe na wale waliomuunga kwenye mradi wao ulioangalia maslahi ya siku chache ndiyo walioiumiza CHADEMA.
Tangu mwanzo Lowassa alionekana ni mtu mwenye kupigania nafsi yake, kwa kisingizio cha kuwapigania watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakulaga lulu bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Msiba wa kanumba uliniliza maana msiba ulikua jambo geni kwangu ila baada ya hapo hii mingine wala naona kawaida hio ni baada ya kufiwa na ndugu wa karibu miaka minne mfululizo
Wabheja[emoji125]Wakulaga lulu bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Viandunje bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1035597