Akili za Wazuru ni kama Wamasai tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama Lowassa amerudi CCM, wewe ni nani ushindwe kumrudia "ex" wako? Lets go back to our EXs to fix the perimeters... to find the value of "x"
[emoji16][emoji16]
Kamwaga povu jirani [emoji16][emoji16][emoji6]Mchokodhi weye! [emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu nimeona hapo juu Bro ananiita mimi muoga kwa vile siendi kule kwenye jukwaa la siasa, hivi nikafanye nini kule? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
[emoji16][emoji16][emoji16]Nyumbu wamerudia hoja yao ya ufisadi kwa mamvi, Fisi wanacheeeka[emoji16][emoji16]siasa za nchi hii ni bonge la kiburudishoNenda kajifunze kutoa mapovu kuitana buku 7 nyumbu etc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije ikawa we ndo KAB mwenyewe ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Anamwaga povu huko balaaa
Kauli hizi za makamanda zinarudi upya bila shaka....[emoji16][emoji16][emoji16]Nyumbu wamerudia hoja yao ya ufisadi kwa mamvi, Fisi wanacheeeka[emoji16][emoji16]siasa za nchi hii ni bonge la kiburudisho
Kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siasa bana unatakiwa usiwe upande wowote hapo utaifaidi sana
Aaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Siasani huko ni mwendo wa kufukua makaburi tu na zile nyuzi za utabiri
Lowassa hawezi kuikana Richmond - JamiiForums
Ukaribu wa Lowassa na Magufuli unanipa mashaka - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani Yegomasika habari yako
Heaven ya kuja kuanzishiwa uzi humu na picha za mjurubeng wangu kuanikwa hadharani? Heaven gani hiyo?Jaribu kuibua mmoja humu poti, heaven utaiona hapa hapa duniani! [emoji1][emoji1]
Aaaa, achana kabisa na huyo Mdachi. Moja kati ya Mashine muhimu ya Arsene WengerDennis Bergkamp