πππππ
Urais huyu ataishia kuusikia tu kama Lowassa
π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ jamanii kabebi ka watu[emoji7][emoji7][emoji7]. Halafu hichi kikikua kitakuwa kipenda ubuyu Esta cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1036196
Watoto wa ruge wamefanana hadi sio poa.View attachment 1035883
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"