carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Huu ubuyu sijauelewa nifafanulie shostiWatoto wa ruge wamefanana hadi sio poa.
Halafu sikujua kama ako na mtoto mkubwa hivi Mungu awape moyo wa ujasiri kwakweli kuondokewa na mzazi mmh!sikia kwa jirani tu....
Ila wanamazengo washaanza yao kabla hata jamaa hajazikwaView attachment 1036278
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani [emoji533][emoji533]huwa inaisha?The Game[emoji119][emoji119]View attachment 1036067
Wachaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]It's more than a crush it's love.
Hiyo stori nimeiona kwa carry.Huu ubuyu sijauelewa nifafanulie shosti
Duh aiseeeeHiyo stori nimeiona kwa carry.
Inavyosemekana huyo mtoto ni wa mpendwa wetu aliyetangulia.
Kaanza kupewa vitisho hakuna kufanya interview na yeyote.
Carry anawataka mawingu wampe child support maana mzee baba ndo kashasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo makubwaaa jamani
Wanaomlea huyu mtoto ni wapuuzi wangeenda msibani home moja kwa moja kuonanan na ndugu wa Ruge kisha mengine yakafuatia . sasa clouds inahusikaje na child support wakati ile sio mali ya ruge
Hapo ndo na mimi nashangaa.Wanaomlea huyu mtoto ni wapuuzi wangeenda msibani home moja kwa moja kuonanan na ndugu wa Ruge kisha mengine yakafuatia . sasa clouds inahusikaje na child support wakati ile sio mali ya ruge
Kabisaaa watajitokeza wengi tu ila DNA itawaumbua balaaHapo ndo na mimi nashangaa.
Ila katika msafara wa mamba kenge nao pia wamo,usishangae kila kona wakaja watu na watoto wakidai ni wa ruge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zama anatia huruma kila kimwangalia juju atakuwa anaona sura ya ruge.
Na ameshindwa kuimba nyimbo pendwa ya marehemu.Kabisaaa watajitokeza wengi tu ila DNA itawaumbua balaa
Nimeshangaa leo nandy alikua upande wa wajane.