Ndo safi atakua anakumbukia vizuri zile voice note alizovujisha na kinachomuuma ni hicho hasaZama anatia huruma kila kimwangalia juju atakuwa anaona sura ya ruge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule wimbo si wangempa mhusika akaimba. Inasemekana walienda mbuga mbili sasa najiuliza kipind cha machupi walikua wameachana au ? Na hizi bata za siku hizi sponsor marehemu au joho?Na ameshindwa kuimba nyimbo pendwa ya marehemu.
Ila si kuna kipindi waja walikuwa wanasema boss alikuwa anaji sevia pale?
Unakumbuka ile stor ya nandy kuonekana na boss serengeti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi atakumbuka yale yote waliyopitia na jamaa(mazuri na mabaya)mwisho wa siku anabaki kulia tu.Ndo safi atakua anakumbukia vizuri zile voice note alizovujisha na kinachomuuma ni hicho hasa
Si walikuwa wanasema jamaa ni wale wazee wa low key?anawala kimya kimya?Ule wimbo si wangempa mhusika akaimba. Inasemekana walienda mbuga mbili sasa najiuliza kipind cha machupi walikua wameachana au ? Na hizi bata za siku hizi sponsor marehemu au joho?
Mume mpya ana kazi sana dah mpaka atulie asahau jamaa atakua anakula kwa macho tuSasa hivi atakumbuka yale yote waliyopitia na jamaa(mazuri na mabaya)mwisho wa siku anabaki kulia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waja wanasingizia hata mimba ya ruby.Si walikuwa wanasema jamaa ni wale wazee wa low key?anawala kimya kimya?
Yawezekana yote yakawa sawa(kuachana ama kuwa pamoja).
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume mpya ilikuwa kumrusha roho jamaa tu hakuna mapenzi pale.Mume mpya ana kazi sana dah mpaka atulie asahau jamaa atakua anakula kwa macho tu
Watu wanalia na mengi acha tu.Waja wanasingizia hata mimba ya ruby.
Ray c kajituliza zake huku akilia na kujipostia insta
Maisha haya ni shiida
Tutakoma na hii emoji indeed wallahi. Inaonekana umeigundua hivi karibuni.[[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrisho Mpoto bana. Eti Nyumba ya Mzaramo Haikosi mbilimbi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona yote[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Tutakoma na hii emoji indeed wallahi. Inaonekana umeigundua hivi karibuni.[[emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mrisho Mpoto bana. Eti Nyumba ya Mzaramo Haikosi mbilimbi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706]
Yaani kakomeshwa vizuri tu nyokolo zakeWanamazengo nasikia wamemzomea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa kutafuta kiki mfyuuu zake[emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jana tumekula ubuyu wa kutoshaWatu wanalia na mengi acha tu.
Hivi dina kapost chochote kuhusu msiba?
Maana na yeye yumo katika list.
Nimewaona waja mnatiririka uzi wa msiba kule[emoji1][emoji1]hadi sio vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooohhhh baasi tusubirie ua jeusiMume mpya ilikuwa kumrusha roho jamaa tu hakuna mapenzi pale.
Ruge atabaki katika maisha yake siku zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona leo uko kivingine. Ngoja nikuache bana. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app