Ni shida. Kifo fumbo kubwa sanaKeshaimaliza safari yake huyo. Nasi tujiandae tu kwa sababu hakuna namna. Je, tutaacha lolote la heri katika sayari hii nzuri iliyojaliwa kila kitu? Tutakumbukwaje?
Ahsante mama ushauri kwa ushauri wakoMara nyingi tumekuwa tukiona au hata kututokea sisi wenyewe katika miili yetu, baada ya kutumia mafuta Fulani au losheni Fulani, ngozi yako ikapata mabadiliko ambayo hukuyategemea, badala ya ngozi yako kulainika, ikawa ya kukakamaa, au badala ya kuifanya ngozi iwe na afya, ikawa na chunusi au vijipele.
Akikujibu nitag ili niende pm