Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahaha aisee
Nilikuwa chimbo bro,,hapa network ndio imekaa sawa
Umenichekesha sana bro haha
Hahaha aisee
Hahaha aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha aisee,,huwa haiishi,,ile familia iko na shida sehemuKwani [emoji533][emoji533]huwa inaisha?
Acha wapokezane bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Dream-the game[emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
#HiiPostiHauhusianiNaMimi# [emoji41][emoji41][emoji41]
Heh,,low keySi walikuwa wanasema jamaa ni wale wazee wa low key?anawala kimya kimya?
Yawezekana yote yakawa sawa(kuachana ama kuwa pamoja).
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutakoma na hii emoji indeed wallahi. Inaonekana umeigundua hivi karibuni.[[emoji706][emoji706][emoji706]
Jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe amini hivyo, mimi MGUMU! Kabinti ka kizungu kataweza kweli kula ugali wa udaga na samaki aina ya Furu? Hapana kabisa aisee! [emoji1][emoji1]