Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuliwa na mafunza kha !!!Ni shida. Kifo fumbo kubwa sana
Unga mweupe unaumiza wengi, nadhani ni zamu ya wauzaji nao kuumia.Mara ya mwisho nasikia alikuwa Kenya na afya yake haikuwa nzuri. Nadhani kuna wadau waliiomba serikali kufuatilia lakini serikali ikasema kuwa haina taarifa na haijui kama alikuwa Kenya kimatibabu au alikwenda kutumbuiza. Naye wanalalamika kuwa amedhulumiwa sana na meneja wake japo nadhani alifanya kosa akaonja ule unga mweupe wa laana
Kikubwa cha kufanya, tuishi Duniani tukijua ni wasafiri na bahati mbaya hatuijui siku ya safari.Keshaimaliza safari yake huyo. Nasi tujiandae tu kwa sababu hakuna namna. Je, tutaacha lolote la heri katika sayari hii nzuri iliyojaliwa kila kitu? Tutakumbukwaje?
Tukikubali na tukikabili, maana kifo kipo.Ni shida. Kifo fumbo kubwa sana
Kama wewe ni Budha au Hindu kiberiti kitakuhusu, vinginevyo utalazwa mchangani kijijini Koromije.Kuliwa na mafunza kha !!!
Mi naona nitatiwa kiberiti tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16]Anzisha hiyo site. Nitalipia domain kwa miaka mitano GoDaddy. Sharti pekee ujitaje we ni nani na kwa nini uliamua kutumia fyekero. Kuna faida zo zote unazozipata kwa kutumia fyekero?
George Kalambo, aliwahi kugombea uweka hazina wa Simba 1992 Diamond Jubilee hall, aliangushwa na marehem Hezlon Mwampulo aliyekuwa Meneja DDC.Hapana jirani, bora hata niwe Mjumbe wa nyumba kumi ile mitaa yetu! Si unamkumbuka yule Mjumbe wetu, yeye alikuwa anakula sambamba na Wahindi tu wa ile mitaa yetu. Yule Mzee alikuwa mjanja sana, halafu yule alikuwa Simba damu! [emoji23][emoji23][emoji23]