Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahan. Mzungu aliporejea kutoka kazin akamuuliza 'what happened to my plate?, house girl akajibu: the dog wow wow friji paaa, mchuz mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee.....the pasuka paaaaaa, hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary
 
Mlevi mmoja alikuwa anapita barabarani, mida ya saa sita mchana, mbele kidogo kulikuwa na shule ya msingi, alipoifikia ile shule akasema kwa sauti kubwa 'MAGUFULI HUYO ANAKUJA' waalimu wakatoka maofisini mbio mbio kuelekea madarasani kufundisha, mwalimu mkuu si akakosa darasa la kuingia ikabidi achukue ufagio akaanza kufagia uwanja, Mlevi alicheka hadi akadondoka, chezea TINGATINGA wewe, HAPA KAZI TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…