myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mmmh acha hizo..jose hajawahi ichezea man uakipewa mkataba tu anakuwa kama Jose....
Wakishindaga huwa ni shida. Siri ni kufurahi nao tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Mh leo tusiokuwa Man U tunalaiki wapi..
Ngoja chereko na nderemo ziishe ntarudi
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]