Si ajabu umekesha unashangilia ushindi...Am sleepy
Am tired
Am exhausted
Am wrecked
Am knackered
Am shattered
Am worn out
EVERY THING!!!
😛😛😛 upo sahihi mkuu.Tatizo liko wapi kamanda? Acha watu wafurahie maisha. Running water pengine siyo kipaumbele chao. Na chakula nadhani wanakula vizuri tu kwa sababu wanang'ara kweli kweli...[emoji16][emoji16][emoji16]
Juzi juzi hapa nilifanya kazi na NGO moja. Wanakuja kuchimba visima vya maji vijijini Shinyanga, Singida na Manyara. Niliwaambia kwamba hakikisheni kwanza mnaongea na walengwa wa misaada yenu na msichukulie tu kuwa wanahitaji hayo mabomba yenu. Ni muhimu sana kuelewa utamaduni wa watu na historia yao kabla ya kuwahukumu na hata kukimbilia "kuwasaidia"
raha ya VAR iwe upande wako kila siku lakini siku itakayokugeuzia kibao ndipo utakapofahamu machungu ya VAR kuliko chloroquineRomelu Lukaku alifunga mabao mawili kabla ya penalty ya Marcus Rashford iliotolewa kwa mfumo wa VAR kuchangia ufanisi huo wa United katika mabao waliofunga kwenye mechi za nje kwa gharama ya PSG.
Wife matirio ni huyo wa toroli hapokuna vumbi la Congo na vumbi la UjingaView attachment 1040282
These women in the Republic of the Congo spend $3,000 on a suit when they do not even have running water, and go without food in order to save up for the right designer accessories.
huyu wa kati ni meeeee au keeeeee.
kwa kutumia picha hapo juu tafuta wife material.
(marks 20)
Kama madrid juzi..eti nao wanalalamika VAR iliwaonea aiseeeraha ya VAR iwe upande wako kila siku lakini siku itakayokugeuzia kibao ndipo utakapofahamu machungu ya VAR kuliko chloroquine
teh teh mimi nilifikiri kati ya hao wenye suti.Wife matirio ni huyo wa toroli hapo
Wakatikati ni Me
AJAX wameshanitia pressure, tatizo la timu kama zile uwekezaji wao mara nyingi wanaishia kuuza baadhi ya wachezaji wao nyota.Kama madrid juzi..eti nao wanalalamika VAR iliwaonea aiseee
Si ajabu umekesha unashangilia ushindi...