Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mi nimeshangaa bro
Sikuwa kufikilia bro,,kote kote wanapambana,kule nazi,karanga,tangawiz,vumbi upande wa pili maji ya maiti,nyanya,mara kuna wengine wanadai kuna nyama huwa inawekwa kwenye nunu siku 7 hlf unakuja kulishwa,,,hahaha

Nasikia ukila ile nyama,kila kitu ni ndio bae,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado chai inachunjwa kwenye chup iliyovuliwa muda huo huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani hio chai unakunywa kwa bebiiii? Kama kwa mama ntilie kanywe tu haki yake kukuvuta mteja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa usitoe siri zingine bhana,,hz chai hz tutaanza kuzikaushia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe huwa unapiga deki huko aiseeeee unakula vingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huu uzi bana we acha tu.

Kama kula vingi tunakula sana tu. Nimesikia kuna baadhi ya mama lishe huwa wanatumia maji ya kutawadhia kupikia ili kuvutia wateja. Na mahotelini huko nako ni hovyo tu.

Kupiga deki kwa mtu wako unayemwamini siyo mbaya. Siyo unafakamia tu kila unayekutana naye. Hutachukua raundi
 
Ni muhimu kuwa naye mmoja tu mpaka bacteria wake wanakuwa wamekuzoea. Hata akifanya hizi drama utakuwa OK. Vinginevyo unaweza kupata madhara makubwa
 
Huko kwa mama ntilie na mahotelini tunaishi kwa neema tu. Kuna mengi zaidi

Duh aiseee mtu wa karibu anafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani hio chai unakunywa kwa bebiiii? Kama kwa mama ntilie kanywe tu haki yake kukuvuta mteja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mama ntilie,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza kuwa unakunywa halafu ukiwaza haya mambo[emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta unaishia njiani
 
Hahaha maendeleo hayana chama bro
Muone !!!

Wewe ni sample ya case study ya usaliti nikiona denti anafanya utafiti huo nitamuomba aje akuhoji. Yaani umekuja hapa bro bro nikakupokea vizuri na kwa heshima sana na upendo kumbe najiangamiza. Sijui kale kalikupaga nini. Sad [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…